Wasiliana Nasi
+0746280331
about
Kuhusu Sisi

Njia bora za kujifunza

Jifunze sasa kwa njia ya mtandao

Markaz ibn Hajar imeasisiwa kwa lengo la kueneza elimu kupitia mitandao na hasa kwa waislamu ambao hawapati muda wa kukaa darasani, Hata hivyo watu wengi wamekua wakipoteza muda wao kwa kutazama mambo mbalimbali ambayo hayaleti manufaa kwao zaidi ya kuwapotezea muda na kumaliza pesa zao, Hivyo basi tunayo furaha kukufahamisha ndugu muislamu kua lau utatumia fursa yako ya wakati wa jioni nyumbani kwa kutenga baadhi ya masiku na masaa machache basi unaweza kupiga hatua kubwa katika safari yako ya kuijua dini yako na hatimaye utoke kwenye duara la ujinga na ufanye ibada zako kwa elimu. Markaz hii inaendesha masomo yake kupitia mtandao tu. Na inasimamiwa na ustaadh Abuu shaaakir sharifu bn Ally , Amehitimu degree ya elimu ya dini chuo kikuu cha kiislamu cha madina na pia ni mwanafunzi na mwalimu katika markaz sheikhil islaam ibn taymiyya Tanga. Yeye ni mmoja katika waalimu na Anashirikiana na waalimu wengine ambao majina yao yametajwa kwenye orodha ya waalimu hapo juu.

Usaili wa Masomo

Karibuni pamoja tuwafunze

Kwa usajili wa wanafunzi wapya Tafadhali bonyeza kitufe kilichoandikwa usaili ili kujisajili, hakikisha una risiti au screenshot ya malipo ya ada ya masomo shilingi elfu kumi na tano(15000) kabla hujaanza kujisajili

Usaili wa Masomo

Pashwa Habari

Jiunge nasi sasa kwa Jarida letu kwa habari za hivi punde na Habari Zaidi kutoka Kwetu!

© 2025 Markaz Ibn Hajar. Haki zote zimehifadhiwa. Imetengenezwa na: abouyaziyd