Markaz ibn Hajar imeasisiwa kwa lengo la kueneza elimu kupitia mitandao na hasa kwa waislamu ambao hawapati muda wa kukaa darasani, Hata hivyo watu wengi wamekua wakipoteza muda wao kwa kutazama mambo mbalimbali ambayo hayaleti manufaa kwao zaidi ya kuwapotezea muda na kumaliza pesa zao, Hivyo basi tunayo furaha kukufahamisha ndugu muislamu kua lau utatumia fursa yako ya wakati wa jioni nyumbani kwa kutenga baadhi ya masiku na masaa machache basi unaweza kupiga hatua kubwa katika safari...
ZaidiKwa usajili wa wanafunzi wapya Tafadhali bonyeza kitufe kilichoandikwa usaili ili kujisajili, hakikisha una risiti au screenshot ya malipo ya ada ya masomo shilingi elfu kumi na tano(15000) kabla hujaanza kujisajili
SHARIFU ALLY OMARY
ALLY KIBWANA ABDALLAAH
JUMA ISSA MOHAMEDI
IBRAHIM TWAHA MWETA
Jiunge nasi sasa kwa Jarida letu kwa habari za hivi punde na Habari Zaidi kutoka Kwetu!
© 2025 Markaz Ibn Hajar. Haki zote zimehifadhiwa. Imetengenezwa na: abouyaziyd