Markaz Ibn Hajar(مركز ابن حجر )
Tunatoa Elimu ya Dini kupitia mtandao inayoendana na Kitabu na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia
masomomadaraja ya masomo( mustawa/levels)muda wa msomovitabu vinavyosomeshwaAda ya masomoWalimukuhusu sisimawasilianojiunge na masomo
Alhamisi, 15 Agosti 2024
MUDA WA MASOMO
USAJILI UTAANZA RASMI TAREHE 01/12/2024 NA UTAISHA TAREHE 23/12/2024.
NA MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 03/ 01/2025
SIKU ZA MASOMO
MASOMO YATAFUNDISHWA KWA SIKU NNE MFULULIZO, KWA UTARATIBU UFUATAO
1. SIKU YA ALKHAMISI NA IJUMAA - LIVE KUPITIA GOOGLE MEET ,
- KIPINDI CHA KWANZA SAA 9: 15 - 9:55 USIKU
- KIPINDI CHA PILI KUANZIA SAA 10: 00 - 10:40 USIKU
KISHA MASOMO HAYO YATAREKODIWA NA KUTUMWA TENA WHATSAPP KWA AJILI YA WANAFUNZI WALIOSHINDWA KUHUDHUIRIA LIVE( ZOOM)
2 SIKU YA JUMAMOSI NA JUMAPILI- KUPITIA WHATSAPP (DARSA ILIOREKODIWA)
- KIPINDI CHA KWANZA SAA 8: 30 - 9:30 USIKU
- KIPINDI CHA PILI SAA 9: 30 - 10:30 USIKU
DARSA YA JUMAMOSI NA JUMAPILI HAITAKUA LIVE BALI ZITATUMWA DARSA ZILIZOREKODIWA NA MWANAFUNZI ATASIKILIZA KWA MUDA WAKE MWENYEWE .
By Abuu Shaakir at Alhamisi, Agosti 15, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
ADA YA MASOMO
KILA MWANAFUNZI ATALIPIA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO (15000TSH) , KWA MWEZI.
NA KWA WANAFUNZI WAKENYA WATALIPIA MIA NANE (800KHS ) PER MONTH.
💸 ADA ITUMWE KWENDA NAMBA
TIGOPESA
0774180331 - SHARIFU OMARY
NB: BAADA YA KUFANYA MALIPO TUMA UJUMBE WA UTHIBITISHO PAMOJA NA MAJINA YAKO MATATU KUPITIA WHATSAPP BONYEZA LINK HII 👇
https://wa.me/message/D6SF5RLSRNEPJ1
By Abuu Shaakir at Alhamisi, Agosti 15, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
بسم الله الرحمن الرحيم
VIWANGO/MADARAJA YA MASOMO
COURSE NO 1(MAFUZO YA KWANZA) - MIAKA 3
Chuo chetu kimeandaa mafunzo/ course za aina mbili , mafunzo ya kwanza yatachukua miaka mitatu na mwanafunzi atapata nafasi ya kujifunza mambo muhimu katika dini yake na kujitoa kwenye kundi la wajinga. muda wa masomo na usajili umeelezwa kwenye kiungo cha MUDA WA MASOMO rejea huko kwa ufafanuzi zaidi.
MCHANGANUO WA MAFUNZO/ COURSE YA KWANZA
Mafunzo haya yatakua na madaraja/ mistawa sita(6) na mchanganuo wake ni kama ifuatavyo
DARAJA LA KWANZA ( التمهيد)
Masomo yanayosomeshwa na vitabu vyake na waalimu husika.
القاعدة النورانية - أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء- أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
الأذكار - حصن المسلم- أستاذ أبو قدامة
الفقه - رسالة في الوضوء والغسل- أستاذ أبو سليمان
DARAJA LA PILI (المستوى الأول)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (1)- أستاذ أبو شاكر
الفقه - متن سفينة النجاة- أستاذ أبو شاكر
العقيدة - ثلاثة الأصول، القواعد الأربعة، - أستاذ أبو المعالي
الأذكار - حصن المسلم - أستاذ أبو قدامة
الحديث - مائة حديث - أستاذ أبو عبدالبر
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء- أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
DARAJA LA TATU (المستوى الثاني)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (2)
الفقه - مقدمة الحضرمية- كتاب الطهارة والصلاة
العقيدة - الأصول الستة، نواقض الإسلام، لامية لابن تيمية
الحديث - مائة حديث
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA NNE( المستوى الثالث)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (3)
الفقه - مقدمة الحضرمية- كتاب الزكاة إلى آخر الكتاب
الحديث - الأربعون النووي
العقيدة - الحائية ، لمعة الإعتقاد
1السيرة - خلاصة نور اليقين
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA TANO ( المستوى الرابع)
النحو- الآجرومية، الدرة اليتيمة
مصطاح الحديث لابن عثيمين
السيرة - خلاصة نور اليقين 2
فقه الحديث- عمدة الأحكام- الطهارة
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA SITA ( المستوى الخامس)
النحو - متممة الآجرومي
مصطلح الحديث- البيقونية ، التذكرة في علوم الحديث
السيرة - خلاصة نور اليقين 3
الصرف - متن البناء ، التريف للعزي
فقه الحديث- عمدة الأحكام- الصلاة
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
TANBIHI;
1.SOMO LA QURAAN LITAKUA KWA KUTAZAMA NA SIO KWA KUHIFADHI.
2. KILA DARAJA MOJA LITASOMWA KWA MIEZI SITA KWA MAANA KWA MWAKA MMOJA MWANAFUNZI ATASOMA MADARAJA MAWILI.
3. KILA BAADA YA MIEZI MIWILI NA NUSU PATAKUWA NA MITIHANI YA NUSU MUHULA ITAKAYOFUATIWA NA LIKIZO YA WIKI MOJA.
4. MWANAFUNZI ATAPEWA SHAHADA BAADA YA KUMALIZA COURSE/ MAFUNZO YA AWAMU YA KWANZA ( MIAKA 3)
5. MASOMO YATASOMESHWA LIVE KWA KUTUMIA ZOOM NA KISHA DARASA LITAREKODIWA NA KUTUMWA WHATSAPP /TELEGRAM KWA AJILI YA KUMBUKUMBU NA KWA WALIOKOSA NAFASI YA KUHUDHURIA LIVE.
6. MCHANGANUO WA MAFUNZO/COURSE YA PILI TUTAUWEKA BAADA YA KUMALIZA AWAMU YA KWANZA YA MAFUNZO INN SHAA ALLAH
By Abuu Shaakir at Alhamisi, Agosti 15, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
Ijumaa, 2 Agosti 2024
VITABU VINAVYOSOMESHWA
1القران
القاعدة النورانية
متن القرآن الكريم
2العقيدة والتوحيد
الأصول الثلاثة، القواعد الأربعة ، الأصول الستة، نواقض الإسلام، لامية لابن تيمبة ، حائية لابن أبي داود،
كتاب التوحيد، كشف الشبهات، العقيدة الواسطيىة، العقيدة الطحاوية، القواعد المثلى، العقيدة التدمرية، فتح الحموية.
3 وأصوله والتجويد
أصول التفسير لابن تيمية، الإتقان في علوم القرآن ،تفسير الجلالين ، تفسيرابن جزي الميسر في علم التجويد تحفة الأطفال
4الفقه
رسالة في الوضوء والغسل والصلاة، سفينة النجاة ، المقدمة الحضرمية ، متن الغاية والتقريب، الياقوت النفيس، عمدة السالك، منهاج الطالبين، بداية المجتهد
5أصول الفقه
الأصول من علم الأصول، متن الورقات، اللمع في أصول الفقه، لب الأصول ، جمع الجوامع، منهاج الوصول
6القواعد الفقهية
القواعد الفقهية للسعدي، المنحة الإلهية
7الحديث وفقهه
متن مائة حديث، الأربعون النووي، عمدة الأحكام، بلوغ المرام، رياض الصالحين ، منحة العلام، الكتب الستة.
8علوم الحديث
مصطلح الحديث لابن العثيمين، المنظومة البيقونية ، التذكرة في علوم الحديث ، نخبة الفكر، اختصار علوم الحديث ، تدريب الراوي، المدخل إلى تاريخ السنة ، المعين في مناهج المحديث، علم الرجال، ضوابط الجرح والتعديل، البيان والتفصيل، المدخل إلى تخريج الأحاديث، دراسة الأسانيد، شرح علل الترمذي
9اللغة العربية وعلومها
سلسلة اللغة العربية لغير الناطقين بها، الآجرومية، درة اليتيمة، متممة الآجرومية، قطر الندى ، ألفية ابن مالك، متن البناء والأساس، متن العز ، شذا العرف، لامية الأفعال، الكافي في الصرف، زبدة البلاغة، البلاغة الواضحة ، مائة المعاني، تلخيص المفتاح.
10السيرة
خلاصة نور اليقين، نور اليقين ، السيرة النبوية في ضوء الكتاب والسنة، إتمام الوفاء.
By Abuu Shaakir at Ijumaa, Agosti 02, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
Alhamisi, 1 Agosti 2024
MASOMO YANAYOSOMESHWA
1 القران 2 التوحيد والعقيدة
3 الفرق والأديان 4 التفسير
5 أصول التفسير 6 علوم القران 7 التجويد 8 الفقه 9 أصول الفقه
10 القواعد الفقهية 11 الفرائض
12 الحديث 13 فقه الحديث
14 علوم الحديث 15 اللغة العربية 16 النحو 17 الصرف 18 البلاغة 19 العروض والقوافي 20 السيرة
21 الأذكار
By Abuu Shaakir at Alhamisi, Agosti 01, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
Jumamosi, 20 Julai 2024
KUHUSU SISI
Markaz ibn Hajar imeasisiwa kwa lengo la kueneza elimu kupitia mitandao na hasa kwa waislamu ambao hawapati muda wa kukaa darasani,
Hata hivyo watu wengi wamekua wakipoteza muda wao kwa kutazama mambo mbalimbali ambayo hayaleti manufaa kwao zaidi ya kuwapotezea muda na kumaliza pesa zao, Hivyo basi tunayo furaha kukufahamisha ndugu muislamu kua lau utatumia fursa yako ya wakati wa jioni nyumbani kwa kutenga baadhi ya masiku na masaa machache basi unaweza kupiga hatua kubwa katika safari yako ya kuijua dini yako na hatimaye utoke kwenye duara la ujinga na ufanye ibada zako kwa elimu.
Markaz hii inaendesha masomo yake kupitia mtandao tu. Na inasimamiwa na ustaadh Abuu shaaakir sharifu bn Ally , Amehitimu degree ya elimu ya dini chuo kikuu cha kiislamu cha madina na pia ni mwanafunzi na mwalimu katika markaz sheikhil islaam ibn taymiyya Tanga. Yeye ni mmoja katika waalimu na Anashirikiana na waalimu wengine ambao majina yao yametajwa kwenye orodha ya waalimu hapo juu.
By Abuu Shaakir at Jumamosi, Julai 20, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
jiunge na masomo
LIPIA SH 15000TSH KWENDA 0746280331 MPESA ( SHARIFU OMARY ) KISHA TUMA SMS YA UTHIBITISHO KWENYE LINK IFUATAYO(WHATSAPP)
link👇
LINK
+255673749916 WhatsAp
By Abuu Shaakir at Jumamosi, Julai 20, 2024 Maoni 1 :
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
waalimu
waalimu watakaosimamia kwa sasa ni hawa wafuatao na tutaongeza wengine pakiwa na hitajio.
1.Ustaadh Abuushaakir Shariff bn Ally- Mudiir
2.Ustaadh Abuu qutaybah ibrahim bn Twaha- Naib mudiir
3.Ustaadh Abul-maaly juma bn issa
4.Ustaadh Abul-Abbaas is-haaqa bn swaaleh
5.Ustaadh Abuu Abdillah Aadam bn rico
6.Ustaadh Abuu abdirrahmaan Miqdaad
7.ustaadh Abuu abdilbarr Ally kibwana
8.ustaadh Abuu qudaama yaasir kweka
9.ustaadh ِAbuu suleymaan daud kidaya
By Abuu Shaakir at Jumamosi, Julai 20, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
Ijumaa, 19 Julai 2024
Mawasiliano
kwa maelezo zaidi Tutafute kupitia
+255673749916
+255774180331
+255712553789
whatsapp au piga kawaida
By Abuu Shaakir at Ijumaa, Julai 19, 2024 Hakuna maoni:
Tuma Hii kwa Barua pepe
Blogu Hii!
Chapisha kwenye X
Shiriki kwenye Facebook
Shiriki kwenye Pinterest
Nyumbani
Jisajili kwenye: Machapisho (Atom)
Kurasa
Nyumbani
Kunihusu
Picha yangu
Abuu Shaakir
Tanga - Pongwe, Tanga, Tanzania
Tazama wasifu wangu kamili
Machapisho Maarufu
(kichwa hakijaongezwa)
بسم الله الرحمن الرحيم VIWANGO/MADARAJA YA MASOMO COURSE NO 1(MAFUZO YA KWANZA) - MIAKA 3 Chuo chetu kimeandaa mafunzo/ course za ai...
waalimu
waalimu watakaosimamia kwa sasa ni hawa wafuatao na tutaongeza wengine pakiwa na hitajio. 1.Ustaadh Abuushaakir Shariff bn Ally- Mudiir 2...
(kichwa hakijaongezwa)
MASOMO YANAYOSOMESHWA 1 القران 2 التوحيد والعقيدة 3 الفرق والأديان 4 التفسير 5 أصول التفسير 6 علوم القران 7 التجويد...
jiunge na masomo
LIPIA SH 15000TSH KWENDA 0746280331 MPESA ( SHARIFU OMARY ) KISHA TUMA SMS YA UTHIBITISHO KWENYE LINK IFUATAYO(WHATSAPP) link👇 LIN K +25...
(kichwa hakijaongezwa)
VITABU VINAVYOSOMESHWA 1القران القاعدة النورانية متن القرآن الكريم 2العقيدة والتوحيد الأصول الثلاثة، القواعد الأربعة ، الأصول الستة، ...
(kichwa hakijaongezwa)
ADA YA MASOMO KILA MWANAFUNZI ATALIPIA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO (15000TSH) , KWA MWEZI. NA KWA WANAFUNZI WAKENYA WATALIPIA MIA NANE (800...
(kichwa hakijaongezwa)
MUDA WA MASOMO USAJILI UTAANZA RASMI TAREHE 01/12/2024 NA UTAISHA TAREHE 23/12/2024. NA MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 03/ 01/2025 SIKU ZA ...
KUHUSU SISI
Markaz ibn Hajar imeasisiwa kwa lengo la kueneza elimu kupitia mitandao na hasa kwa waislamu ambao hawapati muda wa kukaa darasani, Hata ...
Mawasiliano
kwa maelezo zaidi Tutafute kupitia +255673749916 +255774180331 +255712553789 whatsapp au piga kawaida
mawasiliano
Jina
Barua pepe *
Ujumbe *
Jumla ya Mara Iliyotazamwa
3648

Popular Posts

Follow us on Facebook
https://www.facebook.com/profile.php?id=61557093405368
Featured post
MUDA WA MASOMO USAJILI UTAANZA RASMI TAREHE 01/12/2024 NA UTAISHA TAREHE 23/12/2024. NA MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 03/ 01/2025 SIKU ZA ...
Kumbukumbu la Blogu
Agosti 2024 (5)
Julai 2024 (4)
Kurasa
Nyumbani
Walimu
Vitabu
Ada na Malipo
Muda wa Masomo
Kuhusu Sisi
Wasiliana Nasi
Kunihusu
Picha yangu
Abuu Shaakir
Tanga - Pongwe, Tanga, Tanzania
Tazama wasifu wangu kamili
Fomu ya Anwani
Jina
Barua pepe *
Ujumbe *
Matangazo
(kichwa hakijaongezwa)
بسم الله الرحمن الرحيم VIWANGO/MADARAJA YA MASOMO COURSE NO 1(MAFUZO YA KWANZA) - MIAKA 3 Chuo chetu kimeandaa mafunzo/ course za ai...
waalimu
waalimu watakaosimamia kwa sasa ni hawa wafuatao na tutaongeza wengine pakiwa na hitajio. 1.Ustaadh Abuushaakir Shariff bn Ally- Mudiir 2...
(kichwa hakijaongezwa)
MASOMO YANAYOSOMESHWA 1 القران 2 التوحيد والعقيدة 3 الفرق والأديان 4 التفسير 5 أصول التفسير 6 علوم القران 7 التجويد...
jiunge na masomo
LIPIA SH 15000TSH KWENDA 0746280331 MPESA ( SHARIFU OMARY )
Abuu Shaakir
Tanga - Pongwe, Tanga, Tanzania
markazibnhajar..com.
Jiunge nasi sasa kwa Jarida letu kwa habari za hivi punde na Habari Zaidi kutoka Kwetu!
© 2025 Markaz Ibn Hajar. Haki zote zimehifadhiwa. Imetengenezwa na: abouyaziyd