VIWANGO/MADARAJA YA MASOMO
COURSE NO 1(MAFUZO YA KWANZA) - MIAKA 3
Chuo chetu kimeandaa mafunzo/ course za aina mbili , mafunzo ya kwanza yatachukua miaka mitatu na mwanafunzi atapata nafasi ya kujifunza mambo muhimu katika dini yake na kujitoa kwenye kundi la wajinga. muda wa masomo na usajili umeelezwa kwenye kiungo cha MUDA WA MASOMO rejea huko kwa ufafanuzi zaidi.
MCHANGANUO WA MAFUNZO/ COURSE YA KWANZA
Mafunzo haya yatakua na madaraja/ mistawa sita(6) na mchanganuo wake ni kama ifuatavyo
DARAJA LA KWANZA ( التمهيد)
Masomo yanayosomeshwa na vitabu vyake na waalimu husika.
القاعدة النورانية - أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء- أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
الأذكار - حصن المسلم- أستاذ أبو قدامة
الفقه - رسالة في الوضوء والغسل- أستاذ أبو سليمان
DARAJA LA PILI (المستوى الأول)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (1)- أستاذ أبو شاكر
الفقه - متن سفينة النجاة- أستاذ أبو شاكر
العقيدة - ثلاثة الأصول، القواعد الأربعة، - أستاذ أبو المعالي
الأذكار - حصن المسلم - أستاذ أبو قدامة
الحديث - مائة حديث - أستاذ أبو عبدالبر
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء- أستاذ أبو قتيبة & أستاذ ابو شاكر
DARAJA LA TATU (المستوى الثاني)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (2)
الفقه - مقدمة الحضرمية- كتاب الطهارة والصلاة
العقيدة - الأصول الستة، نواقض الإسلام، لامية لابن تيمية
الحديث - مائة حديث
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA NNE( المستوى الثالث)
اللغة - سلسلة اللغة العربية (3)
الفقه - مقدمة الحضرمية- كتاب الزكاة إلى آخر الكتاب
الحديث - الأربعون النووي
العقيدة - الحائية ، لمعة الإعتقاد
1السيرة - خلاصة نور اليقين
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA TANO ( المستوى الرابع)
النحو- الآجرومية، الدرة اليتيمة
مصطاح الحديث لابن عثيمين
السيرة - خلاصة نور اليقين 2
فقه الحديث- عمدة الأحكام- الطهارة
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
DARAJA LA SITA ( المستوى الخامس)
النحو - متممة الآجرومي
مصطلح الحديث- البيقونية ، التذكرة في علوم الحديث
السيرة - خلاصة نور اليقين 3
الصرف - متن البناء ، التريف للعزي
فقه الحديث- عمدة الأحكام- الصلاة
القرآن الكريم - ثلاثة أجزاء
TANBIHI;
1.SOMO LA QURAAN LITAKUA KWA KUTAZAMA NA SIO KWA KUHIFADHI.
2. KILA DARAJA MOJA LITASOMWA KWA MIEZI SITA KWA MAANA KWA MWAKA MMOJA MWANAFUNZI ATASOMA MADARAJA MAWILI.
3. KILA BAADA YA MIEZI MIWILI NA NUSU PATAKUWA NA MITIHANI YA NUSU MUHULA ITAKAYOFUATIWA NA LIKIZO YA WIKI MOJA.
4. MWANAFUNZI ATAPEWA SHAHADA BAADA YA KUMALIZA COURSE/ MAFUNZO YA AWAMU YA KWANZA ( MIAKA 3)
5. MASOMO YATASOMESHWA LIVE KWA KUTUMIA GOOGLE MEET NA KISHA DARASA LITAREKODIWA NA KUTUMWA WHATSAPP /TELEGRAM KWA AJILI YA KUMBUKUMBU NA KWA WALIOKOSA NAFASI YA KUHUDHURIA LIVE.
6. MCHANGANUO WA MAFUNZO/COURSE YA PILI TUTAUWEKA BAADA YA KUMALIZA AWAMU YA KWANZA YA MAFUNZO INN SHAA ALLAH
Jiunge nasi sasa kwa Jarida letu kwa habari za hivi punde na Habari Zaidi kutoka Kwetu!
© 2025 Markaz Ibn Hajar. Haki zote zimehifadhiwa. Imetengenezwa na: abouyaziyd